Kocha mkuu wa timu ya taifa ya England, Roy Hogdson ametangaza kikosi cha The Three Lion, kitakachoshiriki fainali za mataifa ya barani Ulaya (Euro 2016).
article-3592566-343BEF6000000578-975_964x341
Mshambuliaji kinda wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford nyota yake imezidi kunga’aa baada ya kutajwa katika kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki katika michuano ya Euro nchini Ufaransa mwaka huu.
Wachezaji wengine walioko katika kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki michuano ya Euro 2016
Goli kipa: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Southampton), Tom Heaton (Burnley)
Walinzi: Ryan Bertrand (Southampton), Gary Cahill (Chelsea), Nathaniel Clyne (Liverpool), Danny Rose (Tottenham), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Everton), Kyle Walker (Tottenham)
Viungo: Dele Alli (Tottenham), Ross Barkley (Everton), Fabian Delph (Manchester City), Eric Dier (Tottenham), Danny Drinkwater (Leicester), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Lverpool), James Milner (Liverpool), Raheem Sterling (Manchester City), Andros Townsend (Newcastle), Jack Wilshere (Arsenal)
Washambuliaji: Harry Kane (Tottenham), Marcus Rashford (Manchester United), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel Sturridge (Liverpool), Jamie Vardy (Leciester).


Advertisement

Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

0 comments:

Post a Comment

 
Top