Klabu ya Real Madrid imeipa nafasi Manchester United kumsajili James Rodriguez kwa paundi milioni 60.
hi-res-cd0e756396687f9c507004c2ca276dde_crop_north
Kiwango cha Rodriguez (25) kimeonekana kushuka tangu alipohamia kwenye timu hiyo mwaka 2014 baada ya fainali za kombe la dunia akitokea timi ya Monaco kwa ada ya Uero milioni 80. Uongozi wa Manchester United bado haujatoa jibu kamili bado wanataka kuhakikisha wanafanya usajili usiowaingiza kwenye hasara kama ilivyowatokea mwanzo kwa Di Maria.
Mpaka sasa James Rodriguez ameshaichezea Madrid mechi 55 na kafanikiwa kufunga magoli 20

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top