Tangu asaini record deal na Sony Music, staa wa Nigeria, Davido amekuwa akijichanganya na mastaa wanaohit Marekani.
13183284_1715266045380170_859897737_n
Hivi karibuni alishare picha kwenye Instagram akiwa na muimbaji mrembo, Tinashe, kitu kinachoonesha wazi kuwa wanatengeneza ngoma ya pamoja.
13129354_275301092807428_616799848_n
“How long will you wait … @tinashenow,” aliandika Davido kwenye picha moja akiwa na muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Tinashe Jorgenson Kachingwe na mwenye asili ya Zimbabwe.
“Can u make me feel like number 1 ??? @tinashenow,” aliandika kwenye picha nyingine.
Tinashe amehit sana Marekani na nyimbo zake kama 2 On, All Hands on Deck na Player aliyomshirikisha Chris Brown.
13117806_1080228078716269_504997542_n
Pia Davido alishare picha akiwa na rappers ndugu, Khalif “Swae Lee” Brown na Aaquil “Slim Jimmi” Brown wanaounda kundi la Rae Sremmurd

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top